Data
Serikali: Megawati 190 za umeme hazipatikani kutokana na upungufu wa maji
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imesema changamoto iliyopo ya kukatika kwa umeme katika baadhi ya maeneo nchini ni kutokana na upungufu wa ...Matokeo Sensa: Watu milioni 16.8 waongezeka ndani ya miaka 10
Rais Samia Suluhu Hassan amesema jumla ya idadi ya Watanzania ni 61,741,120 huku wanawake wakiongoza kwa idadi ya watu 31,687,990 sawa na ...Mabasi 750 ya Mwendokasi kupelekwa Mbagala
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Usafirishaji wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Fanuel Karugendo amesema mabasi 750 yaendayo haraka yanatarajiwa kuanza kufanya ...Asilimia 70 ya wanafunzi Mwanga hawajui wanachokisomea
Asilimia 70 ya wanafunzi wa shule za sekondari wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro hawajui wanataka kuwa nani na wenye taaluma ipi mara baada ...Tanzania ya pili Afrika utoaji chanjo ya UVIKO-19
Tanzania imeshika nafasi ya 2 kwa kiwango cha juu cha uchanjaji wa chanjo ya UVIKO-19 huku ikiwa imefikia asilimia 37.9 ya uchanjaji ...