Data
Polisi watano wakamatwa kwa kusafirisha wahamiaji haramu
Jeshi la Polisi linawashikilia Polisi watano wa kituo kidogo cha Uyole jijini Mbeya kwa tuhuma za kula njama na kutaka kusafirisha wahamiaji ...Serikali: Waathirika wa mabomu ya Mbagala hawakupewa fidia bali kifuta machozi
Serikali imesema kuwa walicholipwa waathirika wa mabomu ya Mbagala yaliyotokea mkoani Dar es Salaam ni kifuta machozi na sio fidia, kwa kuwa ...Serikali: Megawati 190 za umeme hazipatikani kutokana na upungufu wa maji
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imesema changamoto iliyopo ya kukatika kwa umeme katika baadhi ya maeneo nchini ni kutokana na upungufu wa ...Matokeo Sensa: Watu milioni 16.8 waongezeka ndani ya miaka 10
Rais Samia Suluhu Hassan amesema jumla ya idadi ya Watanzania ni 61,741,120 huku wanawake wakiongoza kwa idadi ya watu 31,687,990 sawa na ...