Data
China yaitoza Kenya faini TZS bilioni 25 kwa kutolipa mkopo wa SGR
China imeitoza nchi ya Kenya faini ya Ksh bilioni 1.31 [sawa na TZS bilioni 25.25] baada ya kuchelewesha malipo ya mkopo uliotolewa ...Kamati yaundwa kuchunguza matokeo ya Shule Kuu ya Sheria
Serikali imeunda kamati ya watu saba ili kuchunguza sintofahamu iliyojitokeza kwenye matokeo ya mitihani katika Shule Kuu ya Sheria Tanzania (Law School ...Rais Samia kuongoza mjadala wa kitaifa wa Nishati safi ya kupikia
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuongoza kongamano la mjadala wa kitaifa wa Nishati safi ya kupikia itakayofanyika Novemba 01 na 02, 2022 ...Ishara 7 zinazoonesha unatapeliwa katika biashara za kuwekeza
Mpango wa Ponzi ni ulaghai wa uwekezaji ambao hulipa wawekezaji waliopo kwa fedha zinazokusanywa kutoka kwa wawekezaji wapya. Waandaaji wa mpango wa ...Benki ya Dunia yaipa Tanzania trilioni 4.9
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuitengea Tanzania jumla ya dola za Marekani bilioni 2.1 ...Mfumuko wa bei waongezeka kufikia 4.8%
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Septemba 2022 umeongezeka hadi asilimia 4.8 ...