Data
Hii ndiyo mikoa mitano nchini iliyopo hatarini kupata Ebola
Serikali imesema uchambuzi uliofanywa umebaini kuwa mikoa iliyo hatarini zaidi kupata ugonjwa wa Ebola ni Kagera, Mwanza, Kigoma, Geita na Mara. Aidha, ...Zanzibar: Asilimia 27.4 ya Vijana hawana ajira
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali imesema idadi ya vijana wasiokuwa na ajira imefikia 109,868 sawa ...Orodha ya majina ya wanafunzi 640 waliokidhi vigezo vya Samia Scholarship
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/09/SAMIA_SCHOLARSHIPS_PDF_FINAL.pdf”] Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefungua dirisha la maombi ya Samia Scholarship kwa wanafunzi 640 waliopata ufaulu ...Msako wanaowatumia walemavu kujipatia pesa
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Amon Mpanju amesema msako wa kuwakamata wale wote wanaowatumia ...Wakati mzuri wa kunywa maji kwa siku
Kunywa maji ni tendo ambalo watu wengi hulifanya pale wanapohisi kiu. Wengine hutumia vinywaji mbalimbali kama vile sharubati au soda ili kutuliza ...