Data
Watanzania 900 wapata kazi nchini Saudi Arabia
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Mwadini amesema zaidi ya Watanzania 900 mwaka huu wamepata fursa ya kwenda kufanya kazi nchini ...Utafiti: Sababu ya wagombea wa upinzani kutochaguliwa nchini
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti REPOA umeonesha kuwa Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote ...Hii ndiyo mikoa mitano nchini iliyopo hatarini kupata Ebola
Serikali imesema uchambuzi uliofanywa umebaini kuwa mikoa iliyo hatarini zaidi kupata ugonjwa wa Ebola ni Kagera, Mwanza, Kigoma, Geita na Mara. Aidha, ...Zanzibar: Asilimia 27.4 ya Vijana hawana ajira
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali imesema idadi ya vijana wasiokuwa na ajira imefikia 109,868 sawa ...Orodha ya majina ya wanafunzi 640 waliokidhi vigezo vya Samia Scholarship
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/09/SAMIA_SCHOLARSHIPS_PDF_FINAL.pdf”] Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefungua dirisha la maombi ya Samia Scholarship kwa wanafunzi 640 waliopata ufaulu ...