Data
Matajiri 10 duniani waliopata hasara kubwa kufuatia ushuru mpya wa Trump
Rais Donald Trump Jumatano ametangaza kuwa Marekani itaweka ushuru wa asilimia 10 kwa kila nchi duniani, huku viwango vya juu zaidi vikilenga ...Kafulila afafanua sababu za kukatika kwa umeme licha ya Bwawa la JNHPP kuelekea ukingoni
Licha ya zaidi ya asilimia 90 ya ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere kukamilika, tatizo la kukatika kwa umeme bado linaendelea ...Ushuru mpya wa Trump watikisa masoko ulimwenguni
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza ushuru mpya kwa bidhaa zote zinazoingia nchini humo, kiwango cha chini kikiwa asilimia 10, huku baadhi ...Kampuni ya xAI yaununua mtandao wa X
Mfanyabiashara Elon Musk amesema kampuni aliyoianzisha ya matumizi ya akili mnemba iitwayo xAI imeununua mtandao wa kijamii wa X [zamani Twitter]. Musk ...CAG: Deni la Taifa lafikia TZS trilioni 97.35
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles E. Kichere amesema kufikia Juni 30, 2024, deni la Serikali lilifikia shilingi ...








