Data
Serikali: Bajeti ya Sensa ni Bilioni 400
Serikali imesema bajeti ya Sensa ya Watu na Makazi, na Sensa ya Majengo ambayo iliidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa ...TANESCO: Kukosekana kwa umeme katika mikoa 14
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kukosekana kwa huduma ya umeme katika baadhi ya mikoa 14 nchi nzima kutokana na hitilafu iliyotokea ...Maelekezo ya Serikali kwa watu ambao hawajahesabiwa hadi sasa
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema endapo itatokea mtu hajahesabiwa hadi kufikia jioni ya leo Agosti 29, ...Sensa ya Makazi kuanza Agosti 30
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema zoezi la sensa ya majengo nchini litaanza kesho Agosti 30, 2022 ...Karani atakayeshindwa kuzifikia kaya zote kutolipwa posho
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema haitowalipa posho makarani watakaoshindwa kuzifikia kaya 150 kwa maeneo ya mijini na kaya 100 kwa ...Asilimia 64 ya Watanzania waridhishwa na matumizi ya tozo- TWAWEZA
Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa limezindua ripoti ya matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi ulioangazia maoni na ...