Data
Ifahamu idadi ya mbwa na paka wanaoliwa kwa mwaka China
Kwa mujibu wa tafiti, inakadiriwa kuwa kila mwaka mbwa wasiopungua milioni 10 na paka milio 4 wanachinjwa na kuuzwa kwenye soko la ...Wanaume wanaotafuta ‘six pack’ watahadharishwa kuota matiti
Wataalamu wa afya nchini wamewaonya wanaume wanaotumia dawa mbalimbali (supplement) kujenga au kukuza mwili ‘six pack’ ili kupata mvuto wa kimaumbile. Kwa ...Orodha ya nchi 10 zenye amani zaidi Kusini mwa Jangwa la Sahara
Kipimo cha Amani Duniani, Global Peace Index (GPI) kimetaja Mauritius, Ghana na Gambia kama nchi tatu za juu zenye amani mwaka 2022 ...Bei ya mafuta yapanda. Hii ni orodha ya bei kwa mikoa yote kuanzia Agosti 3
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/08/Cap-Prices-Publication-wef-3-August-2022-English.pdf” title=”Cap Prices Publication wef 3 August 2022 English”]BeiMatokeo ya utafiti ugonjwa wa kizunguzungu kwa mbuzi na kondoo
Mtafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Dk. Jahashi Nzalawahe ametoa taarifa ya matokeo ya utafiti wa ugonjwa wa kizunguzungu ...Maambukizi ya UVIKO-19 yaongezeka nchini
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema maambukizi ya UVIKO-19 yanaongezeka nchini hivyo ni vyema Watanzania wakajitokeza kupewa chanjo ili kupunguza makali ya ...