Data
Watu wawili hufariki dunia kila dakika kwa ajali za barabarani
Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zimeonyesha kuwa ajali za barabarani duniani kote zinachukua maisha ya watu takribani milioni 1.3 kila ...TRA yafikia 99% ya malengo ya makusanyo 2021/22
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi trilioni 22.28 ikiwa ni sawa na ufanisi wa asilimia 99.22 ya lengo ...Utafiti: Waliougua UVIKO19 hatarini kupata upungufu wa nguvu za kiume
Wizara ya Afya imesema utafiti umebaini kuwa wanaume waliougua ugonjwa wa UVIKO-19 wako katika hatari ya kupata upungufu wa nguvu za kiume. ...Wenye ulemavu Tanzania wanavyosafirishwa na kutumikishwa Kenya
Mkuu wa Kitengo cha Utafiti, Takwimu katika Sekretarieti ya Kupambana na biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu Tanzania, Alexander Lupilya amesema Serikali ...Orodha ya majina ya waombaji 16,600 waliopata ajira za TAMISEMI
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/06/AFYA_AJIRA_JUNI2022.pdf”] [pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/06/ELIMU_AJIRA_JUNI2022.pdf”]Jinsi ya kuondoa taarifa zako binafsi Google
Ikiwa kuna habari kwenye Google ambayo unahisi ni nyeti na inaweza kuleta athari kwako mwenyewe na watu wako wa karibu, kuna njia ...