Data
Thamani ya maiamala ya simu kwenye Pato la Taifa yafikia 66%
Thamani ya miamala ya simu katika pato la Taifa (GDP) imepanda kutoka asilimia 40 kwa mwaka 2013 hadi asilimia 66 kwa mwaka ...Takwimu zaonesha wanawake wanaongoza matumizi ya dawa za kulevya
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limesema idadi ya wanawake wanaotumia dawa za kulevya mkoani humo inaongezeka zaidi ikilinganishwa na idadi ya wanaume. ...Kuhusu madai ya wananchi kuuawa, Spika Tulia aipa serikali miezi mitatu
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, amepokea ushahidi kutoka kwa wabunge wawili aliowaagiza Juni 3 mwaka huu kuleta uthibitisho kwa kile walicholalamika ...Tiba rahisi ya kutengeneza nyumbani ya kuondoa weusi kwenye makwapa
Baadhi ya watu hushindwa kuvaa mavazi yatakayoacha wazi makwapa yao kwa sababu ya rangi nyeusi iliyopo kwenye makwapa. Hili ni tatizo ambalo ...Tanzania yaruhusu raia wa nchi za SADC na EAC kuwekeza kwenye dhamana za Serikali
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kanuni mpya za fedha za kigeni za mwaka 2022 zilizotungwa zinaruhusu wakazi wa Jumuiya ya Afrika ...Je! Unaweza kumwambia mpenzi wako kuwa anatoa harufu mbaya mdomoni?
Usafi wa kinywa ni tatizo ambalo wataalamu wanaamini kuwa karibu asilimia 25 ya idadi ya watu duniani wameathirika na tatizo hili. Watu ...