Data
Waziri Ummy: Kuna kila dalili kwamba UTI imekuwa sugu
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali itafanya uchunguzi na matatibabu ya ugonjwa wa maambukizi katika njia ya mkojo (UTI) ambao bakteria ...Uchunguzi: Polisi wanawajeruhi raia wakati wa ukamataji na upelelezi
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesema uchunguzi umebaini baadhi ya watuhumiwa kupata madhara ya mwili na wakati mwingine ...Madhara makubwa ya kiafya ya kutumia vidonge vya uzazi kiholela
Dkt. Shita Samwel amewashauri wasichana kuacha matumizi ya vidonge vya majira (Oral Contraceptive pills) pamoja na vidonge vya dharura vinavyojulikana kama Emergency ...Rais Samia miongoni mwa watu 100 wenye ushawishi mwaka 2022
Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa na jarida la Time la nchini Marekani miongoni mwa watu 100 wenye ushawishi zaidi kwa mwaka 2022. ...Daktari aeleza sababu za wanaume kufa zaidi kwa UKIMWI
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko amesema ripoti mpya inaonesha kwamba wanaume wanaongoza kwa vifo ...Sababu 5 kwanini unapaswa kunywa juisi ya muwa mara kwa mara
ngawa maji yanaweza kuwa chaguo la kwanza linapokuja suala la kukata kiu kipindi cha joto, vinywaji vingine vimethibitisha kuwa msaada katika maeneo ...