Data
Uhalifu nchini waongezeka kwa asilimia 5.2
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yussuf Masauni amesema katika kipindi cha Julai 2021 hadi Machi 2022 makosa makubwa ya ...Tangazo la nafasi za kazi za Makarani na Wasimamizi wa Sensa 2022
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/05/FINAL-Tangazo-la-Kazi-za-MUDA-ZA-MAKARANI-NA-WASIMAMIZI-WA-SENSA-2022.pdf” title=”FINAL – Tangazo la Kazi za MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022″]MSD ilivyofuja mamilioni ya UVIKO19 katika manunuzi ya vifaa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekemea tabia ya baadhi ya maafisa ununuzi wa umma kukubali zabuni za watoa huduma zenye bei ya ...Wanafunzi darasa la 3 watumia uzazi wa mpango
Utafiti uliofanywa katika Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi kati ya mwaka 2019 hadi 2021 umebainisha kuwa, baadhi ya wanafunzi katika shule za ...Ripoti: Thamani ya rubi kutoka Tanzania ni shilingi laki 2, sio bilioni 240
Kwa siku za hivi karibuni uliibuka utata kuhusu jiwe la madini ya rubi kutoka Tanzania lililowekwa katika maonesho jijini Dubai, ambapo serikali ...Nauli mpya za mabasi ya mikoani na daladala
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri ardhini (LATRA), leo Aprili 30, 2022 imetagaza viwango vipya vya bei ya nauli za daladala na mabasi ya ...