Data
Mtanzania akamatwa na dawa za kulevya China
Raia wa Tanzania aliyefahamika kwa jina moja la Dossa amekamatwa katika Mji wa Macau, China kwa madai ya kusafirisha dawa za kulevya ...Nafasi ya kampuni za simu katika kukuza teknolojia Tanzania
Na Mayala Francis, DIT Katika miaka ya hivi karibuni, dunia imeshuhudia maendeleo makubwa kwenye sekta ya teknolojia hasa linapokuja suala la matumizi ...TCRA yavitoza faini milioni 30 vituo 6 kwa kurusha maudhui yasiyofaa
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevitoza faini ya TZS 30 milioni vituo sita vya utangazaji vikiwemo vya mitandaoni kutokana na kukiuka kanuni ...Sekta ya mawasiliano ya simu inavyoweza kuboresha ubunifu wa kiteknolojia Tanzania
Dismas Mafuru, UDSM Katika miaka ya hivi karibuni serikali ya Tanzania ikishirikiana na sekta binafsi imechukua hatua mbalimbali kuimarisha uchumi. Nyingi ya ...Kenya: Wanafunzi 4,000 wapata mimba miezi 4 iliyopita
Idara ya Watoto katika Kaunti ya Machakos nchini Kenya imeeleza kuwa takribani wanafunzi 4,000 wenye umri chini ya miaka 19 wamepata ujauzito ...Nafasi ya teknolojia ya kidijitali katika kuendeleza uchumi wa Tanzania
Na Martin Nyeka UDBS Katika miaka mitano iliyopita, idadi ya watumiaji wa simu katika eneo la Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara ...