Elimu
Ahitimu na kupata ‘scholarship’ chuo kikuu akiwa hajui kusoma wala kuandika
Aleysha Ortiz (19) kutoka nchini Marekani ameishitaki Bodi ya Elimu ya Hartford na mmoja wa walimu wake kwa uzembe, akidai kuwa hawezi ...Mwalimu apigwa darasani na Mwalimu mkuu baada ya kuchelewa kazini
Mwalimu mmoja katika Kaunti ya Nyamira nchini Kenya amelazwa katika hospitali ya Ikonge baada ya kushambuliwa na mwalimu mkuu kwa madai ya ...SBL Yazindua Programu ya SMASHED Mwanza Kukabiliana na Unywaji wa Pombe Chini ya Umri
Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni yake ya kukabiliana na unywaji wa pombe kwa vijana chini ya umri inayojulikana kama SMASHED jijini ...Rais awakumbusha wanawake viongozi kutosahau majukumu ya kifamilia
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wanawake waliobahatika kupata fursa ya elimu na kuwa viongozi kwenye maeneo mbalimbali, wasisahau wajibu wao ...Umoja wa Walimu Wasio na Ajira waiomba Serikali iwatazame kwa jicho la pili
Umoja wa Walimu Wasiokuwa na Ajira Tanzania (NETO) umeeleza masikitiko yake kwa Serikali kuhusu changamoto ya kutopata ajira tangu mwaka 2015 hadi ...