Elimu
SBL Yazindua Programu ya SMASHED Mwanza Kukabiliana na Unywaji wa Pombe Chini ya Umri
Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni yake ya kukabiliana na unywaji wa pombe kwa vijana chini ya umri inayojulikana kama SMASHED jijini ...Rais awakumbusha wanawake viongozi kutosahau majukumu ya kifamilia
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wanawake waliobahatika kupata fursa ya elimu na kuwa viongozi kwenye maeneo mbalimbali, wasisahau wajibu wao ...Umoja wa Walimu Wasio na Ajira waiomba Serikali iwatazame kwa jicho la pili
Umoja wa Walimu Wasiokuwa na Ajira Tanzania (NETO) umeeleza masikitiko yake kwa Serikali kuhusu changamoto ya kutopata ajira tangu mwaka 2015 hadi ...Serikali: Trilioni 8.2 zimetumika kukopesha wanafunzi kwa kipindi cha miaka 20
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ((HESLB) imetumia shilingi trilioni 8.2 kugharamia ...VODACOM YAWAPA WASICHANA DAR ES SALAAM MAFUNZO YA TEHAMA KUPITIA PROGRAM YA ‘CODE LIKE A ...
Mtaalamu wa mifumo ya kompyuta wa kampuni ya Vodacom Tanzania PLC, Naamini Yonazi akiongea na wasichana wanaofanya mafunzo ya Code like a ...Shule ya Kimataifa ya IST yatangaza ufadhili wa masomo
Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (International School of Tanganyika) inatoa nafasi za ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa Kitanzania waliohitimu Kidato cha ...