Elimu
Waziri Slaa: Ukinunua ardhi usilipe kwa fedha taslimu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ametahadharisha wananchi kutofanya mauziano na manunuzi ya ardhi kwa fedha taslimu (cash) ...Prof. Mkenda: Ukihitimu kidato cha nne utapokea vyeti viwili
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema katika mtaala mpya, elimu ya sekondari itakuwa na mikondo miwili ambayo ni ...NECTA yawafutia matokeo wanafunzi 31
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kufuta matokeo ya watahiniwa 31, waliofanya mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2023 baada ya ...Tazama hapa matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2023
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Darasa la Saba ambapo ufaulu umepanda kwa asilimia 0.96 na watahiniwa milioni 1.09 ...Hatua 6 za kuzingatia unapoitwa kwenye mahojiano na polisi
Kuitwa polisi ni hali inayoweza kutokea kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na uchunguzi wa makosa, kutoa taarifa, au kutoa ushahidi. Ikiwa ...