Elimu
Katibu Mkuu CWT ‘agoma’ kurudi Temeke kufundisha
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imeanza mchakato wa kufungua shauri la nidhamu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), ...Ufaransa yafunga shule kutokana na kunguni
Waziri wa Elimu wa Ufaransa, Gabriel Attal ametangaza siku ya Ijumaa kuwa nchi hiyo imelazimika kufunga shule saba baada ya kuvamiwa na ...Chuo chawekwa chini ya uangalizi kwa kutoa programu iliyofutwa
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limekiweka katika uangalizi maalum kwa kipindi cha miaka mitatu ...Fanya haya kuzuia maumivu ya mgongo ukiendesha gari muda mrefu
Umiliki wa magari umeongezeka kwa watu wengi tofauti na miaka ya nyuma ambapo sasa watu wengi husafiri kwa kutumia magari yao binafsi ...Hizi ndizo fani 6 zitakazopewa mikopo kwa wanafunzi wa Diploma
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema wanafunzi takribani 8000 watakaodailiwa kusoma stashahada katika fani zitakazopewa kipaumbele, watakaribishwa kuomba ...Sababu 7 zinazoweza kupelekea kunyimwa visa
Visa ni kibali cha kumruhusu mwenye pasipoti kuingia na kukaa katika nchi ya kigeni kwa muda maalum. Lakini ni muhimu kufahamu kuwa ...