Elimu
Rais: Tutapitia upya maslahi ya Kada ya Ualimu ili kuipa hadhi stahiki
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ili kuendana na Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, toleo la 2023, Serikali itapitia upya ...Tazama hapa matokeo ya mtihani wa kidato cha Nne mwaka 2024
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha Nne uliofanyika mwezi Novemba, 2024. MATOKEO YA MTIHANI WA ...Wanafunzi waliosoma nchini Sudan washindwa kupata vyeti vyao
Matumaini ya wanafunzi 54 wa Kitanzania waliokuwa wakisoma nchini Sudan na kuhitimu mwaka 2022, yamefifia kutokana na kutopata vyeti vyao vya kitaaluma ...Kwanini ‘depression’ imekuwa tatizo kwa watu wengi?
Depression, au mfadhaiko wa akili, ni moja ya changamoto kubwa za afya ya akili zinazoathiri watu wengi ulimwenguni. Ingawa kila mtu anaweza ...Namna ya kujilinda dhidi ya utekaji nyara na hali za hatari
Kila mtu ana jukumu la kuhakikisha usalama wake binafsi, hasa katika nyakati hizi ambapo vitendo vya uhalifu, kama vile utekaji nyara, vimeongezeka ...