Elimu
Vyuo 10 bora zaidi Kusini mwa Jangwa la Sahara mwaka 2023
Tanzania imekuwa nchi pekee kutoka Afrika Mashariki yenye vyuo vikuu viwili katika orodha ya vyuo vikuu 10 boa iliyotolewa na jarida la ...Mwanafunzi Esther: Nilitoroka shuleni kwa sababu mwalimu alinibaka
Mwanafunzi kidato cha tano wa Shule ya Sekondari Panda hill, Esther Noah (18) amesema chanzo cha kutoroka shuleni ni kunyanyaswa kingono na ...Namna rahisi na sahihi za kutunza thamani ya gari lako
Kutunza thamani ya gari ni muhimu ili uweze kufaidika nayo sasa na baadaye. Gari lako linapokuwa na thamani litakupa urahisi wa kuliuza ...Mwanafunzi Esther aliyepotea shuleni apatikana
Mwanafunzi wa Sekondari ya Panda Hill iliyoko mkoani Mbeya, Ester Noah Mwanyilu aliyepotea Mei 18, mwaka huu amepatikana katika eneo la Ifisi, ...Mwanafunzi wa kike atoweka Mbeya, aacha ujumbe kumhusu Mwalimu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameamuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera na Kamati ya Usalama ya Mkoa huo wafanye uchunguzi zaidi ...Polisi wawasaka wazazi wa mwanafunzi aliyeolewa
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limesema linaendelea kuwasaka wazazi wa mwanafunzi Rachel Fungai ambaye sherehe ya ndoa yake ilizuiwa baada ya kuolewa ...