Elimu
Waziri Mkenda afafanua utaratibu wa ufanyaji mitihani kwa walimu
Serikali imesema walimu wapya ndio watakaohusika na utaratibu wa kufanya mitihani kabla ya kuajiriwa ambapo utekelezaji wa utaratibu huo utafanyika baada ya ...Asilimia 82 ya madereva Kenya wafeli mtihani wa udereva
Baada ya agizo la Waziri wa Uchukuzi, Kipchumba Murkomen la kufanyika kwa majaribio ya lazima kwa madereva wa magari ya utumishi wa ...Vitabu 5 vinavyosomwa zaidi Afrika
Usomaji wa vitabu ni njia nzuri ya kujifunza na hata kubadili maisha yako kwa ujumla, ambapo husaidia kukupa ujasiri wa kujenga hoja ...Wanafunzi 150 wa udaktari kutoka Sudan wahamishiwa Muhimbili
Wanafunzi 150 wa udaktari kutoka Chuo Kikuu cha Tiba, Sayansi na Teknolojia (UMST) cha Khartoum nchini Sudan wamehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili ...Serikali yapendekeza kufuta ada vyuo vya ufundi (DIT, MUST na ATC)
Serikali imependekeza kuondoa ada kwa wanafunzi wanaomaliza kidato cha nne na kupangiwa na Serikali kujiunga na Vyuo vya Ufundi vya Dar es ...Serikali kutoa mikopo kwa baadhi ya fani vyuo vya kati
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amependekeza kuanzishwa kwa programu ya mikopo kwa wanafunzi wanaochaguliwa na Serikali kusoma kwenye vyuo ...