Elimu
Wananchi wawakataa walimu saba baada ya kifo cha mwanafunzi aliyezama kisimani
Walimu saba kati ya 12 wa Shule ya Msingi Isenegeja, Kata ya Mwisi, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, wameondolewa kazini kufuatia kifo ...SBL & NCT Yawakaribisha Wanafunzi wa Learning for Life Siku ya Kwanza ya Mafunzo Arusha
Chuo cha Taifa cha Utalii NCT Kampasi ya Arusha kimefurika ari, tabasamu na matumaini mapya baada ya wanafunzi na wakufunzi kuannza rasmi ...Mwalimu mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi
Jeshi la Polisi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora linamshikilia Torbeth Peter (39) mwalimu wa shule ya Sekondari Kata ya Igurubi kwa tuhuma ...Serikali ya Taliban yapiga marufuku vitabu vilivyoandikwa na wanawake
Taliban imeondoa vitabu vilivyoandikwa na wanawake kwenye mtaala wa vyuo vikuu nchini Afghanistan, pamoja na kupiga marufuku masomo ya haki za binadamu ...NECTA: Tukibaini udanganyifu mtihani wa Darasa la Saba, matokeo yatafutwa
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limezitaka shule na wanafunzi wote wanaotarajia kufanya mtihani wa Darasa la Saba kuepuka vitendo vya udanganyifu, ...Ndoto za Ukarimu: Learning for Life Yapanuka Kutoka Dar es Salaam Hadi Arusha
Kampuni ya Bia ya Serengeti kwa kushirikiana na Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) wamezindua rasmi awamu ya pili ya programu ya ...








