Elimu
Mtaalam: Ukiathiriwa na sumu usinywe maziwa, njoo hospitali au tupigie simu
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imeitaka jamii kwenda hospitali au kuwasiliana na Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Matukio ya ...TMA: Kimbunga ‘Freddy’ hakina madhara ya moja kwa moja
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kwa takribani wiki sasa mamlaka imekuwa ikifuatilia mwenendo wa kimbunga “Freddy” kilichopo Kusini Magharibi ...Fahamu aina ya miwani inayokufaa zaidi kulingana na uso wako
Linapokuja suala la kununua miwani, kuamua saizi ya uso wako na umbo ni muhimu kwa sababu itakusaidia kupata miwani ya jua inayofaa ...Mambo ya msingi ya kufahamu unapotaka ku-verify akaunti ya Twitter
Baada ya mfanyabiashara Elon Musk kuichukua Twitter, amefanya mabadiliko makubwa katika mtandao huo ikiwemo mabadiliko kwenye Twitter Blue ambayo ina vipengele vipya ...Chuo cha Teknolojia cha India kuanzishwa nchini Tanzania
Serikali ya India inatarajia kuazisha Chuo cha Teknolojia (Indian Institute of Technology) nchini Tanzania ambacho kitakuwa kinatoa kozi ya masuala ya TEHAMA ...Valentine’s Day inavyoweza kukusababishia matatizo ya kiakili
Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’ ambayo huadhimishwa Februari 14 kila mwaka kwa heshima ya Mtakatifu Valentine inakua kila mwaka. Siku hii huwapa ...