Elimu
Madhara 5 ya kutumia choo cha kukaa
Mtu anapotumia choo cha kukaa njia yake ya kihifadhi kinyesi huwa imebanwa kiasi, hivyo hatoi kinyesi chote wakati wa kujisadia. Hali hii ...Tanzania na Afrika Kusini kuimarisha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi
Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa wameeleza azma yao ya kuimarisha uhusiano uliopo wa kisiasa na kiuchumi ...Fahamu kwanini unapata fangasi ya kucha
Ni rahisi kupata maambukizi ya vimelea katika kucha, ikiwa una maambukizi ya vimelea kwenye mguu wako, fangasi inaweza kuenea na kusambaa kutoka ...Maswali 5 ya kujiuliza endapo unataka kurudiana na Ex wako
Kuachana kunaweza kuwa kichocheo cha kujifunza pale ulipokosea. Wakati kutengana kunapotumika kama zana ya kujifunzia, kunaweza kukusaidia kubainisha endapo uhusiano huo unaweza ...Siku ya Figo Duniani: Mambo rahisi ya kufanya kuepuka ugonjwa wa Figo
Kila Alhamisi ya wiki ya pili ya mwezi Machi, dunia huadhimisha Siku ya Figo Duniani. Siku hii ilianza kuadhimishwa rasmi mwaka 2006 ...AJALI: Polisi kukagua shule za udereva na namna madereva walivyopata leseni
Katika mkakati wa kupambana na wimbi la ajali nchini, Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limesema limekuja na mkakati wa ...