Elimu
Orodha ya majina ya vijana 812 waliochaguliwa kujiunga na programu ya kilimo (BBT)
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametangaza awamu ya kwanza ya majina ya vijana 812 waliochaguliwa kujiunga na programu ya Building a Better ...Fahamu kwanini unapata tatizo la kukosa choo na nini cha kufanya
Tatizo la kukosa choo kwa muda mrefu, (constipation) huweza kumpata mtu yeyote. Kuna watu wanaopata choo mara tatu kwa siku, wengine hupata ...Mtaalam: Ukiathiriwa na sumu usinywe maziwa, njoo hospitali au tupigie simu
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imeitaka jamii kwenda hospitali au kuwasiliana na Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Matukio ya ...TMA: Kimbunga ‘Freddy’ hakina madhara ya moja kwa moja
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kwa takribani wiki sasa mamlaka imekuwa ikifuatilia mwenendo wa kimbunga “Freddy” kilichopo Kusini Magharibi ...Fahamu aina ya miwani inayokufaa zaidi kulingana na uso wako
Linapokuja suala la kununua miwani, kuamua saizi ya uso wako na umbo ni muhimu kwa sababu itakusaidia kupata miwani ya jua inayofaa ...Mambo ya msingi ya kufahamu unapotaka ku-verify akaunti ya Twitter
Baada ya mfanyabiashara Elon Musk kuichukua Twitter, amefanya mabadiliko makubwa katika mtandao huo ikiwemo mabadiliko kwenye Twitter Blue ambayo ina vipengele vipya ...