Elimu
Chuo cha Teknolojia cha India kuanzishwa nchini Tanzania
Serikali ya India inatarajia kuazisha Chuo cha Teknolojia (Indian Institute of Technology) nchini Tanzania ambacho kitakuwa kinatoa kozi ya masuala ya TEHAMA ...Valentine’s Day inavyoweza kukusababishia matatizo ya kiakili
Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’ ambayo huadhimishwa Februari 14 kila mwaka kwa heshima ya Mtakatifu Valentine inakua kila mwaka. Siku hii huwapa ...Aina 16 za vitabu zilizopigwa marufuku kutumika shuleni nchini
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vinavyokwenda kinyume na maadili kwenye shule na ...Mbinu 5 za kuzungumza kwa kujiamini mbele ya watu wengi
Kuzungumza mbele ya watu wengi inaweza kuwa si jambo rahisi kwa watu wengi, iwe ni shuleni, kwenye harusi mkutanoni n.k. Vidokezo hivi ...Serikali kuangalia uwezekano kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma na cheti
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaangalia uwezekano uliopo ili kuanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa ngazi ya stashahada na astashahada. Ameyasema ...Faida 7 za kufanya ‘meditation’ asubuhi
Mazoezi ya kutafakari (meditation) kila asubuhi ni mojawapo ya mambo bora zaidi unayoweza kujifanyia. Tafiti nyingi zinaonesha kwamba watu wanaotafakari asubuhi wana ...