Elimu
Fahamu madhara yanayotokana na kunywa maji kupita kiasi
Wataalamu mbalimbali wa afya nchini Tanzania wamesema unywaji wa maji kupita kiasi unaweza kuleta athari mbalimbali katika mwili wa binadamu. Daktari kutoka ...Waziri Mkuu: Msirekodi matukio na kuweka mitandaoni, pelekeeni mamlaka husika
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii kuachana na vitendo vya kurekodi matukio ya kuzua taharuki na kuyarusha kwenye mitandao ya ...Angalia hapa matokeo ya Kidato cha Nne mwaka 2022
Matokeo ya mitihani wa kidato cha nne 2022Serikali yaitaka TCU kuchunguza tuzo zinazotolewa na vyuo vya nje
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameitaka Bodi ya Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuchunguza ubora ...Serikali kuchunguza vitabu vya shule vinavyohamasisha mapenzi ya jinsia moja
Serikali imesema inafuatilia suala la vitabu vya shule vinavyodaiwa kuwa na maudhui ya kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja kwa watoto na kutoa ...Asilimia 24 ya Watanzania hawajui kusoma na kuandika
Kwa mujibu wa ripoti mwaka 2020/21 ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) asilimia 76 ya Watanzania wanajua kusoma, kuandika na kufanya ...