Elimu
Mambo 5 wanayofanya wanaume kila siku yanayowakera wapenzi wao
Wanaume hufanya mambo mengi ambayo yanawakera wanawake licha ya kutowaweka wazi kuwa hawapendezwi nayo. Haya ni baadhi ya mambo unayofanya kila siku ...Mwanafunzi UDOM ajirusha ghorofani akidai amefelishwa makusudi
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wa Shule ya Uuguzi na Afya ya umma (SoNPH), Ezekiel Sostenes amelazwa hospitali ya Rufaa ...Serikali yapiga marufuku wanafunzi wa bweni kulala kitanda kimoja
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Adolf Mkenda amepiga marufuku kwa shule za bweni kuwalaza wanafunzi wawili katika kitanda kimoja na kuwaagiza ...Waziri Mkenda: GPA isiwe kigezo pekee cha ajira vyuo vikuu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani ‘GPA’ katika ajira za vyuo ...Virusi vya Ebola hujificha kwenye mbegu za kiume kwa miezi sita
Mratibu wa kukinga na kudhibiti maambukizi Wizara ya Afya, Dkt. Joseph Hokororo amesema mgonjwa wa Ebola anapopona, bado anaweza kuambukiza mtu mwingine ...