Elimu
Ahukumiwa jela kwa kutumia cheti cha mtu mwingine kujiunga chuo
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Elina Masawe kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kutumia cheti cha kidato cha nne ...Haya ni matokeo ya Iptisum, mwanafunzi aliyebadilishiwa namba ya mtihani
Mwanafunzi wa Shule ya Chalinze Modern Islamic Pre and Primary iliyopo mkoani Pwani, Iptisum Slim, aliyebadilishiwa namba ya mtihani wa darasa la ...Tazama hapa matokeo ya darasa la saba 2022
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya darasa la saba ya mwaka 2022 ambapo jumla ya watahiniwa 1,073,402 kati ya 1,348,073 ...Rais Samia: Elimu inayotolewa iwezeshe wahitimu kujiajiri
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema elimu inayotolewa katika taasisi za elimu inapaswa kuwawezesha wahitimu wa vyuo kuwa na uwezo wa kujiajiri ...Ndejembi awataka wanafunzi vyuo vikuu kutowatega kingono wahadhiri
Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Deogratius Ndejembi amewataka wanafunzi kutowatega wahadhiri wao kingono ili ...Lindi: Watoto wa miaka 8 wachomwa sindano za kuzuia mimba
Baadhi ya wazazi wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi wamedaiwa kuwalazimisha watoto wao wa kike kuchomwa sindano za kuzuia kupata ujauzito kitendo kinachowaweka ...