Elimu
Waziri Gwajima: Wasio na elimu ya uandaaji wa maudhui mtandaoni waache mara moja
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amekemea ongezeko la maudhui yasiyofaa yanayozalishwa na waandaji wa ...Tazama hapa matokeo ya mtihani wa Kidato cha Pili 2024
https://matokeo.necta.go.tz/results/2024/ftna/ftna.htmPolisi: Tunafuatilia kifo cha mwanafunzi wa UDOM aliyekufa maji kwenye maporomoko
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limesema linachunguza taarifa ya kifo cha mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye amekufa maji ...Waziri Kuu: Tumedhamiria kuendelea kutatua changamoto za walimu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendelea kutatua changamoto za ...Serikali: Tunachunguza madai ya wanafunzi kufukuzwa kisa wazazi wao wanaunga mkono CHADEMA
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza kuchunguzwa kwa taarifa ya wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga, iliyopo ...