Elimu
Namna 5 ya kuepuka kupatwa na kiharusi
Wataalam wa afya wanasema asilimia 80 ya viharusi vinaweza kuzuiwa kupitia mabadiliko ya mtindo mzuri wa maisha na kucheki afya mara kwa ...Tanzania ya pili Afrika utoaji chanjo ya UVIKO-19
Tanzania imeshika nafasi ya 2 kwa kiwango cha juu cha uchanjaji wa chanjo ya UVIKO-19 huku ikiwa imefikia asilimia 37.9 ya uchanjaji ...Papa Francis awaonya makasisi na watawa wanaotazama video za ngono
Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amekiri kuwa makasisi na watawa pia hutazama video za ngono mtandaoni huku akionya kuwa tabia ...Mawaziri Uganda kuanza masomo ya lazima ya lugha ya Kiswahili
Baraza la Mawaziri nchini Uganda linatarajia kuanza masomo ya lazima ya lugha ya Kiswahili kuanzia wiki ijayo ili kuimarisha uwezo wao katika ...Athari 5 za kutopata kifungua kinywa asubuhi
Kifungua kinywa ni chakula muhimu zaidi cha siku. Watu wengine wanaweza kuruka kupata kifungua kinywa kwa sababu ya kuchelewa kuamka na sababu ...Wanaume washauriwa kupima saratani ya matiti
Wataalam wa magonjwa ya Saratani mkoani Mwanza wamewashauri wanaume kuwa na utaratibu wa kupima ugonjwa wa saratani ya matiti pale wanapohisi kuwa ...