Elimu
Polisi: Tunafuatilia kifo cha mwanafunzi wa UDOM aliyekufa maji kwenye maporomoko
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limesema linachunguza taarifa ya kifo cha mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye amekufa maji ...Waziri Kuu: Tumedhamiria kuendelea kutatua changamoto za walimu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendelea kutatua changamoto za ...Serikali: Tunachunguza madai ya wanafunzi kufukuzwa kisa wazazi wao wanaunga mkono CHADEMA
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza kuchunguzwa kwa taarifa ya wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga, iliyopo ...Nchi 10 za Afrika zenye ubora wa chini wa elimu
Elimu ni moja ya nguzo muhimu za maendeleo ya taifa na ustawi wa jamii. Hata hivyo, katika baadhi ya maeneo, ubora wa ...Wataalam: Usikae zaidi ya dakika 10 maliwatoni ni hatari kwa afya
Inaweza kuonekana kama jambo la kawaida na lisilo na madhara kutumia muda mrefu unapokuwa maliwatoni. Hata hivyo, wataalamu wanaonya kuwa kukaa muda ...