Elimu
Makala aliyoandika Rais Samia Suluhu leo Dunia ikiadhimisha Siku ya Demokrasia
Na Rais Samia Suluhu Hassan Mwaka 2007, Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulifanya uamuzi wa kuzitaka nchi duniani kuadhimisha siku ya ...Walimu wote kupewa vishkwambi vilivyotumika kwenye Sensa
Serikali imesema ili kuimarisha matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) shuleni, ina mpango wa kugawa vishkwambi vilivyotumika katika zoezi la ...Dalili 3 zinazoonesha kushindwa kwa moyo bila wewe kujua
Katika nchi zinazoendelea ugonjwa huu unazuka kwa kasi kubwa, hiyo inasababishwa na kubadilika kwa mfumo wa maisha na kutojishughulisha au kutokufanya mazoezi. ...Agizo la Serikali kwa shule zinazochuja wanafunzi wasiofikisha viwango vya ufaulu
Serikali imepiga marufuku baadhi ya shule kuchuja wanafunzi wasiofikia kiwango kilichowekwa na shule pamoja na kuwazuia kufanya mitihani ya kitaifa kwa wanafunzi ...Namna 6 bora za kumuacha mtu katika mahusiano
Hakuna njia rahisi ya kusema “sikupendi tena” lakini kuna njia za upole za kuachana na mtu ambaye ulimpenda hapo awali ambazo hazitoleta ...