Elimu
Sababu 8 zinazopelekea watu kufariki wakiwa usingizini
Kufariki usingizini mara nyingi huhusishwa na mshtuko wa ghafla wa moyo na moyo kupoteza utendaji wake unaohusishwa na kushindwa kwa moyo (CHF). ...Mambo 6 yanayoweza kutokea unapokuwa hushiriki kufanya mapenzi kwa muda mrefu
Kushiriki kufanya mapenzi si tu shughuli ya kufurahisha kimwili, bali pia ina athari kubwa kiafya ambazo zinaweza kuwa na faida kubwa kwa ...Balozi Togolani akanusha Tanzania kusaini mkopo Korea Kusini unaohusisha sehemu ya bahari
Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini, Togolani Mavura amesema Tanzania haijasaini Mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusisha Bahari ya Tanzania wala ...Vyuo Vikuu 10 bora zaidi Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara
Ripoti iliyotolewa na Times Higher Education imeorodhesha vyuo vikuu bora katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Orodha hiyo inalenga kuangazia taasisi ...Mambo 6 ya kufanya kumrudisha mwanamke aliyekukataa
Kwanza kabisa, ni muhimu kutambua kwamba unapaswa kuheshimu uamuzi wa mwanamke na kuheshimu mipaka yake. Kukubali kukataliwa ni sehemu ya kukua na ...