Habari
Serikali: Wastaafu kuweni makini na ujumbe wa kitapeli uliozuka hivi karibuni
Wizara ya Fedha imewatahadharisha wastaafu wote nchini kuwa makini na ujumbe mfupi uliozuka hivi karibuni unaotumwa wa kitapeli, ukionesha mtu aliyetumiwa ujumbe ...Amchoma mkewe kisu nyumbani kwao baada ya kumkimbia na watoto
Polisi katika kijiji cha Kibaita, Kaunti ya Nandi nchini Nairobi, wanachunguza tukio la kusikitisha ambapo mwanaume aliyefahamika kwa jina la Hanise Juma ...Ligi Kuu ya NBC kurejea mwanzoni mwa mwezi Februari
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu ya NBC katika juma la kwanza la Februari, 2025 ...Sababu za CAF kuahirisha mashindano ya CHAN hadi Agosti 2025
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) leo limetangaza kuahirisha Mashindano ya Mataifa ya Afrika ya TotalEnergies CAF (CHAN) Kenya, Tanzania, Uganda 2024 ...Polisi kumsaka dereva aliyegonga na kuua watu 11 waliokuwa wakiangalia ajali Tanga
Jeshi la Polisi mkoani Tanga linamsaka dereva anayejulikana kwa jina la Baraka Merkizedek aliyekuwa akiendesha gari namba T.782 BTU aina ya Volvo ...