Habari
Rais Ndayishimiye: Rwanda inapanga kuishambulia Burundi
Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye amesema anayo taarifa za kiintelijensia zinazoonesha kuwa Rwanda inakusudia kushambulia nchi yake. Aidha, ametaja jaribio la mapinduzi ...Ndege yalazimika kugeuza baada ya rubani kusahau pasipoti yake
Ndege ya United Airlines aina ya Boeing 787 iliyokuwa ikisafiri kutoka Los Angeles hadi Shanghai ililazimika kurejea nyuma takriban saa mbili baada ...Kamati ya Ushauri Tanga yaidhinisha mapendekezo ya kugawa majimbo ya uchaguzi
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mwaka huu, Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Tanga (RCC) imeidhinisha mapendekezo ya kugawa majimbo matatu ya ...Angola yajiondoa kama mpatanishi wa mzozo wa DRC
Angola imeamua kujiondoa kama mpatanishi katika mzozo unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), baada ya kushindwa kufanikisha mazungumzo ya ...Nchi 10 za Afrika zenye furaha zaidi mwaka 2025
Furaha ni hisia ya utulivu na kuridhika inayotokana na hali nzuri ya maisha, mafanikio, au upendo kutoka kwa wengine. Lakini ukweli ni ...Mtambo wa mwisho Bwawa la Mwalimu Nyerere wakamilika
Mtambo wa tisa na wa mwisho katika mradi wa kuzalisha umeme wa Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) tayari umekamilika na kukabidhiwa ...