Habari
Serikali ya Kenya yaendelea kumpambania binti aliyehukumiwa kifo Vietnam
Serikali ya Kenya inafanya juhudi za haraka kuzuia kunyongwa kwa Margaret Nduta (37), Mkenya aliyekamatwa nchini Vietnam miaka miwili iliyopita na kuhukumiwa ...Ashikiliwa kwa kumkata kichwa na kumuua mtoto wa miaka sita
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja (26) mkazi wa Kijiji cha Kirwa wilayani Rombo kwa kosa la kumuua mtoto Rosemary ...Trump asitisha ufadhili kwa shirika la habari la VOA
Rais wa Marekani, Donald Trump amesaini agizo la kusitisha ufadhili wa Voice of America (VOA), shirika la habari ambalo linapata fedha kutoka ...Odinga: Nilishinda karibu mara zote nilipogombea urais
Kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga, amedai kuwa ameshinda karibu chaguzi zote za urais alizogombea, lakini hakuwahi kutangazwa rasmi kuwa mshindi ...Kulala chini ya saa 7 huchochea magonjwa ya moyo
Kulala ni moja ya mahitaji muhimu ya mwili, sawa na chakula na maji. Watu wengi wanadharau usingizi kwa sababu ya ratiba ngumu ...