Habari
Ummy: Tatizo la jinsi mbili linatibika, msiwafiche watoto
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa wito kwa Watanzania kuacha tabia ya kuwaficha watoto wenye jinsi mbili bali wawapeleke hospitali ili waweze ...Mwajiri amchoma moto mfanyakazi wake wa ndani kwa kumwibia pesa
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Christina Shiriri (43) maarufu kama Manka kwa tuhuma za kumuunguza moto mfanyakazi wake wa ndani, Grace ...Aliyemtapeli Ridhiwani Kikwete milioni 4 aenda jela miaka saba
Innocent Chengula (23), kijana anayedaiwa kumtapeli Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti na Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amehukumiwa ...Korea yaipa Tanzania mkopo wa bilioni 427 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Zanzibar
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Korea zimesaini Mkataba wa Mkopo nafuu wa Dola za Marekani milioni 163.6 [TZS bilioni ...Watoto wamuua mama yao wakidai anaroga wajukuu
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya mama yao mzazi, Shija Mageranya (77) mkazi wa Kijiji ...