Habari
Marais wa Afrika waliohukumiwa kifungo gerezani
Barani Afrika, historia ya kisiasa imejawa na matukio ya viongozi wakuu kukabiliana na sheria kutokana na vitendo vya kiuhalifu, ukiukaji wa haki ...Marekani yamwekea vikwazo Spika wa Bunge la Uganda na mumewe
Marekani imewawekea vikwazo maafisa watano wa Uganda, akiwemo Spika wa Bunge la nchi hiyo, Anita Among, mumewe na Naibu Mkuu wa zamani ...Ruto asema Gharama za ndege ya kifahari kwenda Marekani zililipwa na marafiki wa Kenya
Rais wa Kenya, William Ruto amesema ndege ya kifahari aina ya Boeing 737-700 ya shirika la Abu Dhabi aliyotumia kusafiri nayo kwenda ...Ripoti yabaini dhahabu ya mabilioni ya dola husafirishwa kimagendo kutoka Afrika
Uchunguzi uliofanywa na shirika la SwissAid umegundua kwamba dhahabu ya thamani ya mabilioni ya dola husafirishwa kimagendo kutoka bara la Afrika kila ...Mkulima Singida aibuka na Mil. 10/- za NMB Pesa Weka na Ushinde
KAMPENI ya Weka Akiba, Tumia na Ushinde kwa wateja wa akaunti nafuu, rahisi na salama ya NMB Pessa iliyokuwa na zawadi zenye ...Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara katika Jamhuri ya Korea kuanzia Mei 30 hadi Juni 6, mwaka huu kwa mwaliko wa ...