Habari
Waziri Ulega awasimamisha kazi wasimamizi wa mizani kupisha uchunguzi
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuwasimamisha kazi wasimamizi wote wa mizani waliokuwa zamu katika mizani ...Binti wa miaka 15 ashikiliwa kwa kutoroka na mtoto wa mwajiri wake
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Christina Nashoni (15), mkazi wa Kijiji cha Malagarasi, Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, kwa tuhuma za ...Serikali: Mikopo ya bilioni 82 imetolewa kwa wanawake, vijana na walemavu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, amesema katika mwaka wa Fedha 2024/25, ...Jeshi la Sudan linakaribia kudhibiti Ikulu
Televisheni ya taifa ya Sudan imeripoti kuwa Jeshi la Sudan liko karibu kuchukua udhibiti wa Ikulu ya Rais mjini Khartoum kutoka kwa ...PUMA Energy yawataka wakazi wa Dodoma kuchagua nishati safi kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi
Kampuni ya Puma Energy Tanzania imezindua PumaGas jijini Dodoma, hatua inayoonyesha dhamira yake katika kuhakikisha suluhisho la nishati nafuu na ya uhakika ...









