Habari
Watanzania waishio Vatcan wamwombea Rais Samia na taifa
Jumuiya ya Watanzania Wakatoliki waishio Vatican wamefanya ibada maalum ya kufunga mwaka wa masomo pamoja na kutumia ibada hiyo kumwombea Rais Samia ...Wanne wakamatwa Arusha kwa kusafirisha punda nje ya nchi
Jeshi la Polisi Kikiosi cha Kupambana na Kuzuia Wizi wa Mifugo kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi Wilaya ya Longido ...Tanzania yajidhatiti kuendelea kukuza amani na usalama Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan amesema jitihada za pamoja ni muhimu katika kukabiliana na changamoto za kiusalama zinazokabili Bara la Afrika na katika ...Uchaguzi CHADEMA-Njombe wavurugika tena, wajumbe wakidaiwa si halali
Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliopangwa kufanyika leo Mjini Njombe umevurugika tena baada ya wanachama kudai kuwa wajumbe kutoka ...Mama adaiwa kumteka mtoto wake ili mume atoe milioni 20
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limesema linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumteka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitano, mwanafunzi ...