Habari
Odinga: Nilishinda karibu mara zote nilipogombea urais
Kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga, amedai kuwa ameshinda karibu chaguzi zote za urais alizogombea, lakini hakuwahi kutangazwa rasmi kuwa mshindi ...Kulala chini ya saa 7 huchochea magonjwa ya moyo
Kulala ni moja ya mahitaji muhimu ya mwili, sawa na chakula na maji. Watu wengi wanadharau usingizi kwa sababu ya ratiba ngumu ...Putin atoa wito wanajeshi wa Ukraine wajiuzulu akiwaahidi kuwapa huduma bora
Rais wa Urusi, Vladmir Putin ametoa wito kwa wanajeshi wa Ukraine walioko katika eneo la Kursk la Urusi kujisalimisha, huku mazungumzo ya ...Marekani yamfukuza Balozi wa Afrika Kusini
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ametangaza kuwa Balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani, Ebrahim Rasool, hatakiwi tena nchini ...Tanzania yapokea msaada wa bilioni 27 kutoka Japan kuboresha sekta ya Afya
Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 [sawa na ...Putin akubali kusitisha mapigano nchini Ukraine kwa masharti
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema anakubaliana na pendekezo la Marekani la kusitisha mapigano nchini Ukraine kwa siku 30, lakini akisisitiza umuhimu ...









