Habari
Serikali yatangaza kumalizika kwa ugonjwa wa Marburg nchini
Wizara ya Afya imetangaza kumalizika kwa ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) nchini . Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya imesema wagonjwa ...Anastazia ahukumiwa miaka mitatu jela kwa kukutwa na kilo 5 za bangi
Mahakama ya Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza imemhukumu Anastazia Mgaya (41) mkazi wa Kijiji cha Mtoni, Kata ya Nakatungu kifungo cha miaka ...Waziri Mkuu azindua kituo kipya cha Nzega kilichogharimu bilioni 4
Kassim Majaliwa leo Machi 13, 2025 amezindua kituo kipya cha mabasi cha Nzega mjini ambacho ujenzi wake umegharimu shilingi bilioni 4.327. Akizungumza ...Mwanaume aishi siku 100 akiwa na moyo bandia
Mwanaume mmoja wa Australia ameishi kwa siku 100 na moyo bandia wa titani wakati akisubiri upandikizaji wa moyo kutoka kwa mfadhili, na ...Mhitimu kidato cha Nne afariki kwa mpenzi wake akisherehekea siku yake ya kuzaliwa
Msichana mwenye umri wa miaka 19, aliyemaliza masomo yake ya Kidato cha Nne hivi karibuni, amefariki dunia kwa mazingira ya kutatanisha akiwa ...CAF yaufungia Uwanja wa Benjamin Mkapa
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeufungia kwa muda Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam kutokana na eneo la ...









