Habari
Hati Fungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London 🇬🇧
Benki ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha Hati fungani ya NMB Jamii (NMB Jamii Bond) ...ATCL yakanusha ndege kutelekezwa Malaysia
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ndege yake aina ya Boeing 787- 8 yenye ...Watano wakamatwa kwa ubakaji na ulawiti wa watoto Morogoro
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kutenda makosa ya ubakaji na ulawiti kwa watoto wadogo na wanafunzi ...Ajinyonga akimtuhumu mke wake kumsaliti na kijana wa mtaani
Amani Ibrahim mwenye umri wa miaka 27 mkazi wa Ibungiro C Jijini Mwanza amejiua kwa kujinyonga kwa madai ya kumtuhumu mke wake ...Mabaki ya panya yapatikana kwenye mikate Japan, kiwanda chasimamishwa
Kampuni maarufu ya mikate nchini Japan iitwayo Pasco Shikishima imeagiza kurejeshwa kwa maelfu ya mikate na wateja kurejeshewa pesa zao baada ya ...