Habari
Wanawake 5 wa Kiafrika wenye nguvu zaidi katika orodha ya Forbes 2024
Katika ulimwengu wa sasa, dhana ya mwanamke mwenye nguvu imebadilika sana, ikiondoka kwenye mawanda ya jadi kama utajiri, hadhi ya kijamii, au ...Rais Dkt. Mwinyi azindua Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amesema malengo makuu ya Rasimu ya Dira ya Maendeleo ya ...Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma
Mfanyakazi wa ndani aliyefahamika kwa jina moja la Modesta (17) amefariki dunia baada ya kujinyonga Desemba 10, mwaka huu, Mtaa wa Zanzibar ...Hatua 5 za kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, ametangaza hatua muhimu zinazofuata katika mchakato wa kukamilisha Dira ya ...Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya
Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Arusha wametoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya ambao wanapatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ...Benki ya Dunia yapunguza makadirio ukuaji wa uchumi wa Kenya 2024
Benki ya Dunia imepunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa Kenya kwa mwaka 2024 hadi asilimia 4.7 kutoka asilimia 5.0 ya awali, ...