Habari
Watu 12 waripotiwa kuambukizwa Ebola Uganda
Shirika la Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (CDC) limethibitisha ongezeko la visa 12 vya ugonjwa wa Ebola katika mikoa miwili tofauti nchini ...Sudan yaishitaki UAE Mahakama ya Haki kwa kufadhili wanamgambo wa RSF
Sudan imeishitaki Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kwa madai kuwa inaunga mkono wanamgambo wa ...Trump kuwafutia hadhi ya hifadhi ya muda Waukraine 240,000
Rais wa Marekani, Donald Trump anapanga kufuta hadhi ya hifadhi ya muda kwa takriban wakimbizi 240,000 wa Ukraine waliokimbia uvamizi wa Urusi, ...Wateja wa Benki ya Exim Kufurahia Huduma za Kipekee Kutoka CIP Lounge katika Uwanja wa ...
Benki ya Exim Tanzania imetangaza ushirikiano wa kimkakati na CIP Lounge iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terminal ...Serikali kuijenga upya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa trilioni 1
Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda ...Ndege za kivita za Korea Kusini zadondosha mabomu kwa bahati mbaya eneo la raia
Watu 15 wamejeruhiwa nchini Korea Kusini baada ya mabomu yaliyodondoshwa na ndege za kivita kuanguka katika eneo la raia na kusababisha uharibifu ...









