Habari
Bwawa la Kidunda kuondoa kero ya maji Dar, Pwani, Morogoro
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kukamilika kwa Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda kutaongeza uhakika wa upatikanaji wa huduma ya ...Kisa cha Rais Sankara na rafiki yake Compaoré
Blaise Compaoré na Thomas Sankara walikuwa marafiki wa karibu. Waliongoza mapinduzi ya mwaka 1983, yakamfanya Sankara kuwa Rais wa Burkina Faso, huku ...Akamatwa kwa tuhuma za kughushi kadi za NIDA
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Consolata Mwasege (47), mfanyabiashara na mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ...Jay-Z amfungulia kesi mwanamke aliyemtuhumu kwa ubakaji
Mwanamuziki Jay-Z amemshitaki mwanamke aliyefuta kesi aliyomtuhumu kwa ubakaji baada ya tuzo za MTV Video Music Awards za mwaka 2000 akiwa na ...VODACOM YAZINDUA DUKA LA HUDUMA KWA WATEJA NUNGWI, ZANZIBAR
Kampuni ya Mawasiliano ya simu ya Vodacom imezindua duka jipya la huduma kwa wateja kata ya Nungwi, mkoa wa Kaskazini A, ikiwa ...Rais amzawadia milioni mbili Dullah Mbabe kwa mchango wake kwenye ngumi
Rais Samia Suluhu amempa zawadi ya shilingi milioni mbili bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi maarufu Dullah Mbabe licha ya ...









