Habari
Vifo vya Saratani kufikia milioni 1 mwaka 2030
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimy amebainisha kuwa takribani wagonjwa wapya wa Saratani 40,000 hugunduliwa kila mwaka na karibu jumla ya watu 27,000 ...NMB yang’ara OSHA!
Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika ...TMA yatoa tahadhari ya kimbunga HIDAYA Tanzania
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mgandamizo wa hewa katika Bahari ya Hindi, Mashariki mwa pwani ya Mtwara kama ilivyoelezwa ...Serikali: Hakuna kampuni ya simu yenye leseni ya kutoa mikopo
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kwa mujibu wa sheria za fedha zinazosimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hakuna kampuni ya ...Zanzibar kutenga Bilioni 34 kwa ajili ya posho za nauli kwa wafanyakazi.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetenga shilingi Bilioni 34 kwa ajili ya posho ya nauli kwa wafanyakazi ambapo kila mtumishi atapewa shilingi ...Serikali imesema inafanyia kazi suala la kikokotoo kwa waastaafu
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema Serikali imepokea hoja kuhusu kubadili kikokotoo kwa wastaafu, hivyo inafanya uchambuzi zaidi kuhusu hoja hiyo ...