Habari
Zanzibar kutenga Bilioni 34 kwa ajili ya posho za nauli kwa wafanyakazi.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetenga shilingi Bilioni 34 kwa ajili ya posho ya nauli kwa wafanyakazi ambapo kila mtumishi atapewa shilingi ...Serikali imesema inafanyia kazi suala la kikokotoo kwa waastaafu
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema Serikali imepokea hoja kuhusu kubadili kikokotoo kwa wastaafu, hivyo inafanya uchambuzi zaidi kuhusu hoja hiyo ...Tundu Lissu apingwa kwa madai ya kauli yake ya kibaguzi
Baada ya kauli iliyotafsiriwa kuwa ya kibaguzi iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu kukosoa uongozi ...Yanga yafungiwa kwa kushindwa kumlipa aliyekuwa mchezaji wake
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeifungia Yanga SC kusajili wachezaji mpaka itakapomlipa mchezaji wake, Lazarus Kambole aliyeshinda kesi ya ...Wafikishwa mahakamani kwa kuwahadaa wanaume kimapenzi na kuwaibia
Washukiwa watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Sheria ya Embu nchini Kenya kwa makosa ya kuwahadaa wanaume na kuwaibia pesa. Washtakiwa hao ni ...