Habari
Jeshi la Israel lakiri kushindwa kuwalinda raia wake
Uchunguzi wa ndani wa Jeshi la Israel kuhusu shambulio la Hamas la Oktoba 7, 2023, umekiri kuwa jeshi lilishindwa kabisa kuzuia shambulio ...Ripoti ya Mkaguzi Mkuu yabaini upendeleo wa kikabila kwa wafanyakazi ofisi ya Gachagua
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imeonesha kuwa kulikuwa na upendeleo mkubwa wa kikabila upande wa ajira katika ofisi ya ...Zelensky kukutana na Trump kusaini makubaliano ya madini
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky atakutana na Rais wa Marekani, Donald Trump mjini Washington siku ya Ijumaa kusaini makubaliano yatakayoiruhusu Marekani kupata ...Msajili wa Hazina na CAG kushirikiana katika usimamizi wa mashirika ya umma
Ikiwa ni sehemu ya dhamira na jitihada za kuhakikisha taasisi na mashirika ya umma yanaongeza mchango katika ustawi wa uchumi wa Taifa, ...Rais: Miradi ya ujenzi inayoendelea itaufungua Mkoa wa Tanga
Rais Samia Suluhu Hassan amesema barabara, madaraja na miradi mingine ya ujenzi inayoendelea mkoani Tanga, ina lengo la kuufungua Mkoa huo kiuchumi, ...Mnyika apewa siku mbili kujibu malalamiko ya uteuzi wa viongozi CHADEMA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome, amemuomba Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika kujibu ...









