Habari
Mwalimu apigwa darasani na Mwalimu mkuu baada ya kuchelewa kazini
Mwalimu mmoja katika Kaunti ya Nyamira nchini Kenya amelazwa katika hospitali ya Ikonge baada ya kushambuliwa na mwalimu mkuu kwa madai ya ...Zaidi ya wanamgambo 70 wa Al- Shabaab wauawa Somalia
Serikali ya Somalia imesema zaidi ya wanamgambo 70 wa kundi la Al-Shabaab wameuawa nchini humo katika operesheni ya jeshi kwa ushirikiano na ...Matajiri kununua uraia wa Marekani kwa bilioni 12
Rais Donald Trump ametangaza mpango mpya wa kuuza “kadi za dhahabu” kwa dola milioni 5 [TZS bilioni 12.9], ambao utawapa wageni matajiri ...Uingereza yatangaza kusitisha baadhi ya misaada Rwanda kutokana na mapigano DRC
Uingereza imetangaza kusitisha baadhi ya misaada yake ya kifedha kwa nchi ya Rwanda pamoja na kuweka vikwazo vya kidiplomasia kwa serikali ya ...Dkt. Ndumbaro: Tanzania imeweka kipaumbele katika usimamizi wa haki za binadamu
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) amesema nchi ya Tanzania imeendelea kuweka kipaumbele katika uendelezaji na ulinzi wa Haki ...Mradi ulioanzishwa takriban miaka 50 kutekelezwa kwa kasi mpya
Mradi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi ni mradi mkubwa wa kimkakati ulioanzishwa zaidi ya miaka 50 iliyopita, lakini umechelewa kuendelezwa kwa sababu ...









